Your experience on this site will be improved by allowing cookies
Instructor
Kama tunavojua Blockchain imekua ni open source code na tumeweza ona advancement mbalimbali za Blockchain kutokana na amendment ambazo zinafanyika kama kwenye etherium kuongezeka kwa smart contracts ambazo kwenye Blockchain ya bitcoin hazikuwepo kumeweza toa fursa mbalimbali kama staking yield farming na nyinginezo
Nini mtazamo wako kwenye uwezo wa Blockchain kuwa open source code kwenye nyanja mbalimbali ambazo tunge penda teknolojia hii izifike je.? Tutaweza ona Blockchain ina gusa kila idara ..?
Katika ulimwengu wa sasa unaoongozwa na kasi ya teknolojia, blockchain imeibuka kama moja ya nguzo kuu zinazobadilish...